Tulonge

Parade, kumbe ilikua ni mwendo wa kaptura tu kama shule ya msingi.

Hapa walikua uwanjani, sijui na wao walikua na yale mashindano ya kombe la mbuzi kama miaka yetu ya 2000.Naona mabweni ya Mwaisela A,Bangu na mengine kwa mbaliii.Duuh! yani toka miaka ya 70 hadi sasa yapo vile vile.

Walimu

Walimu pia.

Nyumba ya walimu

Mtoni, na kale katawi cha mto ruaha.

Kanisa la Roma.

Views: 1891

Replies to This Discussion

Duuh! kitambo sana hii, ila naona baadhi ya majengo yapo vile vile.

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*