Tulonge

Malangali High School Alumni

Information

Malangali High School Alumni

Hili ni kundi la kuwakutanisha wale wote waliosoma Malangali High School Iringa ili kutuweka karibu zaidi kwa ajili ya kupeana habari mbali mbali muhimu,pia kukumbushana yale ya kipindi ile tukiwa skuli.

Members: 21
Latest Activity: Aug 3, 2013

Taswira za Malangali Secondary kwa sasa(2012)

Hii ndiyo njia ya kuingia shule toka barabarani

Ofisi ya Posta ya shule

Miti iliyo pandwa kando kando ya viwanja vya michezoNaona Bweni la Mwaisela B na Mkwawa kwa mbali.Nasikia ile cube ya Mkwawa iliyobatizwa jina "White House" mwaka 2000, hadi leo hii jina hilo limedumu.

Discussion Forum

Kikao kikubwa cha Wana Malangali Sekondari tar 04/08/2013

Started by Tulonge. Last reply by jacquerin gideon makoyola Aug 3, 2013. 1 Reply

Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha kuwa trehe 04/08/2013 kuanzia saa 8:00 mchana kutakua na kikao kikubwa na muhimu cha Wana Malangali Sekondari kitakachofanyika Landmark Hotel Ubungo Dar es…Continue

Taarifa kuhusu kuugua kwa Mwalimu Nyaulingo

Started by Tulonge May 13, 2013. 0 Replies

Jana nimepokea taarifa toka kwa katibu wa wana Malangali (Agnes Nyakunga), kuwa Mwalimu NYAULINGO…Continue

Mazishi ya Ndugu yetu Frank Maige katika picha leo

Started by Tulonge Apr 4, 2013. 0 Replies

Frank Maige alisoma Malangali High School 2001-2003. Alifariki tarehe 1 Aprili 2013 baada ya kupooza sehemu ya mwili. Zifuatazo ni baadhi ya picha za shughuli ya mazishi yake toka hospitali ya…Continue

Taswira ya Malangali Secondary School kati ya mwaka 1973-1975

Started by Tulonge. Last reply by Tulonge Jun 5, 2012. 1 Reply

Parade, kumbe ilikua ni mwendo wa kaptura tu kama shule ya msingi.…Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of Malangali High School Alumni to add comments!

Comment by Tulonge on January 26, 2011 at 4:14
Duh! Remmy nani alikwambia kuwa Mtengela hatunaye Duniani? Duh! ni nouma,kijana bado yupo Duniani tena kamenenepa kweli.
Comment by Remmy Benson Mganga on January 23, 2011 at 0:39

Siwezi amini kabisa kama bwana mtengela yu hai,kweli wa2 wanajua kumwaga mbigili...eti Mtengela hatunae tena duniani kumbe yungali tunagombania nae pumzi....ebwana hapo mzee Dis unanikumbusha mbali hususani napomwona kijani nyawili, aah...mashine ilikua inatisha hiyo,kuna nyingine ilikua inaitwa Foward halafu kule kuna Mtengela,namba hizo zilikua zinafungiwa library.

Tulonge umefanya jambo la mbolea sana kuweka iki kitengo....wadau nashukuru kwa kunikaribisha tulonge...pa1

Comment by jimmy elijah kamasho on January 18, 2011 at 9:48

nice pics dis,it was one of the best days i have ever had in y lyf,just gud days,im not sure if i have some pics bt i wil check on my memory safe.

Comment by Agnes Nyakunga on January 17, 2011 at 10:10
kaka Dis kuna chocho nisiyoijua mimi kule, yaani huko stone beach ndo usiseme.
Comment by francis moses on January 16, 2011 at 0:00
eee bwwaaannnaaaa tam sana mnanikumbusha....kiumeni......rahhhhaaaa sana..............daaaahhhhh....picha za ukweli kinoma......
Comment by Tulonge on January 15, 2011 at 23:56
Agness Hapo MGL nilikuwepo 2000/2002. Umenikumbusha ishu ya wapishi,walikuwa wapo rafu balaa.Sometimes wanakuja wamelewa ile mbaya.Stone beach unakujua wewe Agnes,au ulikuwa unakusikia tu.
Comment by Twaha Mtengera on January 15, 2011 at 11:33

Agnes,Keto na Hassan tupo pamoja sana mwanzo mgumu tukutane sana tubadilishane mawazo

 

Comment by Twaha Mtengera on January 15, 2011 at 11:32

nimekusoma Dis,Uko Fast sana kwa kufanyia kazi idea yangu tumepotezana sana  wadau hapa ndo sehemu peke  ya kubadilishana na kukumbushana mambo ya kuleeeeeeeeeee kilometa 18 toka highway ya zambia

 

Comment by Agnes Nyakunga on January 14, 2011 at 8:47
mie form four nimemaliza 1999 nimemaliza mbeya day, nilipenda sana nimalizie pale ila dadaangu akaja akanihamisha nikaenda mbeya, ulanzi nilikuwa cwezi kabisa kunywa kwani niliwahi kuweka mdomoni kidogo huwezi amini nilitapika vibaya mpaka kunipelekea kuumwa homa kali na si kunywa nikiwa MGL, mie nimetokea Mafinga na tulihamia tu tukitokea Tabora nilipofika tu Mafinga nikaenda kwa babu yangu ndani huko basi mie cha kwanza kwenda kuonja huo ulanzi mbona niliiipata mpaka leo huwa cwezi kabisa kunywa ulanzi, na kwambi anyumba tuliyokuwa tumepanga ilikuwa ya mganga wa kienyeji yaani Dis acha yule mganga bwana alikuwa atupenda sana mimi na rafiki yangu zile kuku wanazoleta wagonjwa akichinja anatuita mimi na mwenzangu tunakaa naye yeye anakaa katikati tuanaza kujichana hiyo mikuku, kumbe mzee yule anatusalandia angalau hata tuwe wake zake kabisa sio wakuchakachua halafu akaenda zake la hasha, alitaka kabisa atuoe bahati nzuri machale yakatucheza na mimi ndo kuhama kwend ambeya mwenzangu akatafuta nyumba nyingine
Comment by Agnes Nyakunga on January 14, 2011 at 8:26
naona mko mesini mnapata nguna nakwambia kaka DIs ukiwakuta wapishi wanasonga ugali hapo jasho lote laishia ktk chakula, basi kulikuwa na kaka mmoja pia alikuwa akiitwa Potino Mwasampeta alimaliza form four mimi nikiwa form two akachaguliwa mazenga sec alikuwa kichwa mbaya basi hao ndo walikuwa mabraza men wa shule akikuita tu ukikataa hiyo shule utasoma kwa kujificha walikuwa hawaoni taabu mwalimu yuko darasani anakuja anakutoa basi utapelekwa stoo na huko watajua wao watakacho kufanyia, huwezi amini huyo Mwasampeta alitokea kunipenda kama mdogo wake yaani akinikuta ananinyanyua naenda nae duka la shule ananinulia pipi, basi nafurahi sana mimi nimeanza form one nikiwa mdogo sana pia nasikia ni marehemu ni marehemu kwa sasa huyo kaka, nitatafuta picha enzi zetu za MGL utaziona.
 

Members (21)

 
 
 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*