Tulonge

Malangali High School Alumni

Information

Malangali High School Alumni

Hili ni kundi la kuwakutanisha wale wote waliosoma Malangali High School Iringa ili kutuweka karibu zaidi kwa ajili ya kupeana habari mbali mbali muhimu,pia kukumbushana yale ya kipindi ile tukiwa skuli.

Members: 21
Latest Activity: Aug 3, 2013

Taswira za Malangali Secondary kwa sasa(2012)

Hii ndiyo njia ya kuingia shule toka barabarani

Ofisi ya Posta ya shule

Miti iliyo pandwa kando kando ya viwanja vya michezoNaona Bweni la Mwaisela B na Mkwawa kwa mbali.Nasikia ile cube ya Mkwawa iliyobatizwa jina "White House" mwaka 2000, hadi leo hii jina hilo limedumu.

Discussion Forum

Kikao kikubwa cha Wana Malangali Sekondari tar 04/08/2013

Started by Tulonge. Last reply by jacquerin gideon makoyola Aug 3, 2013. 1 Reply

Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha kuwa trehe 04/08/2013 kuanzia saa 8:00 mchana kutakua na kikao kikubwa na muhimu cha Wana Malangali Sekondari kitakachofanyika Landmark Hotel Ubungo Dar es…Continue

Taarifa kuhusu kuugua kwa Mwalimu Nyaulingo

Started by Tulonge May 13, 2013. 0 Replies

Jana nimepokea taarifa toka kwa katibu wa wana Malangali (Agnes Nyakunga), kuwa Mwalimu NYAULINGO…Continue

Mazishi ya Ndugu yetu Frank Maige katika picha leo

Started by Tulonge Apr 4, 2013. 0 Replies

Frank Maige alisoma Malangali High School 2001-2003. Alifariki tarehe 1 Aprili 2013 baada ya kupooza sehemu ya mwili. Zifuatazo ni baadhi ya picha za shughuli ya mazishi yake toka hospitali ya…Continue

Taswira ya Malangali Secondary School kati ya mwaka 1973-1975

Started by Tulonge. Last reply by Tulonge Jun 5, 2012. 1 Reply

Parade, kumbe ilikua ni mwendo wa kaptura tu kama shule ya msingi.…Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of Malangali High School Alumni to add comments!

Comment by Tulonge on January 14, 2011 at 8:24
Kama mna picha tuwekeeni jamani.
Comment by Tulonge on January 14, 2011 at 8:23
Kumbe kaka Hassan na wewe ulisoma MGL,duh safi sana. Kulikuwa na ishu gani enzi hizo?
Comment by Tulonge on January 14, 2011 at 8:22
Ilikuwa mwaka gani Agnes? Nakumbuka sana ishu za madenti kupanga.Kulikuwa na vituko sana mtaani,na wewe ulikuwa unakunywa ulanzi? Stone beach ulikuwa unahudhuria?
Comment by Agnes Nyakunga on January 14, 2011 at 8:17
nimesoma form one na two nikahamia mbeya day, lakini MGL naipata vizuri sana, MGL ndo ilinifundisha nikajua sana Basketball kwa kipindi tu hicho cha miaka miwili nilienjoy sana maana sisi tulikuwa tunakaa day si unajua maswala ya kupanga kwa madent acha tu, tukapatwa na kisa kimoja maishani huwa sikisahau kabisa,  ni story ndefu
Comment by hassan damnan on January 14, 2011 at 8:12
duh nakumbuka miaka ya sabini mwanzo mwanzo nikiwa shuleni
Comment by Tulonge on January 13, 2011 at 16:32
Haahahahaaa kumbe na wewe Agnes ulimaliza MGL? Mimi nilimaliza 2002 form six. Wewe je?
Comment by Agnes Nyakunga on January 13, 2011 at 9:18
kaka Dis umenikumbusha mbali sana, huwa natamani nirudi  tena MGL
Comment by Agnes Nyakunga on January 13, 2011 at 9:11
ulijuaje kwamba pale mwilavila mjini watu walikuwa wana kula ile kitu kutoka ulefi, ee bwana ee kaka Dis mbona umenikumbusha mbali sana, umegraduate mwaka gani pale?
 

Members (21)

 
 
 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*