Tulonge

Mfuko wa watoto yatima

Information

Mfuko wa watoto yatima

Hili ni kundi la kusaidia watoto yatima.

Members: 38
Latest Activity: Jun 24, 2016

Discussion Forum

This group does not have any discussions yet.

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of Mfuko wa watoto yatima to add comments!

Comment by mariam beka on July 13, 2011 at 16:15
Wazo zuriiiiiiiii sana namie nachangia hivi pundeeeeeeee
Comment by Belita on July 7, 2011 at 21:58
Na mimi nipo,nitachangia hivi karibuni
Comment by Gratious Kimberly on July 4, 2011 at 19:30
Hahaha...mkuu Dismas ..nashukuru sana pia nimefurahi kupata nafasi kama hii ya kuchangia watoto..ukichukilia hawana wazazi.  Western union yaani wala haina magumashi...dakika 10 tu mtu anapokea. Tuo pamaoja sana na kwa wadau wote wa kundi hili basi ..." we're together as one"  Lets make happen!!
Comment by Tulonge on July 4, 2011 at 19:13
Hongera Gratious Kimberly kwa kukomaa hadi kuweza kuchangia mfuko wa watoto yatima japo upo nje ya Tanzania. kweli Western Union wanarahisisha kutumiana fedha.
Comment by ANGELA JULIUS on July 4, 2011 at 14:25

HII NI SEHEMU MOJAWAPO YA SADAKA YANGU MBELE ZA MUNGU, KUWASAIDIA YATIMA, WAJANE , WALEMAVU PIA HATA WASIOJIWEZA KIMAISHA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE.NIMEFARIJIKA TUPO PAMOJA SANA TUU.

Comment by CHA the Optimist on July 3, 2011 at 22:05
PamoJah kama chai na mkate
Comment by Tulonge on July 1, 2011 at 21:19
Tupo pamoja wadau
Comment by Mama Malaika on July 1, 2011 at 13:56

Throught this network I hope totawafikia watoto wengi. Asante kutupa nafasi hii Tulonge.

 

God bless Tuonge

Comment by KUNAMBI Jr on July 1, 2011 at 8:57
wazo zuri sana nami nitachangia 10000,nitakutumia siku za hivi karibuni
Comment by Alfan Mlali on June 30, 2011 at 22:53
Namba ziko hewani bado kuchangia...kesho inshaallah ntachangia!!
 

Members (38)

 
 
 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*