Tags:
Chaoga, nimekwenda kuitazama hii leo na miwani yangu.. :-)
ha ha ha kumbe ulikuwa bado hujaitazama? aisee mie na vile nilikaa viti vya mbele basi ilikuwa si mchezo . wiki hii nitaiba muda nikaangalie SNOW WHITE & THE HUNTSMAN naona iko bomba sana.
Jamani mmeona Mr Bones & Mr Bone 2: Back from the past? Huwa nikiangalia nacheka hadi machozi
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by