Tulonge

Swalama humu? Naomba kujua movie tatu kali ulizozianglia mwaka huu wa 2012..

Views: 755

Replies to This Discussion

Duh!! list ni kubwa sana!!! Maana kuna aina mbali mbali, Action, comedy, Romantic, musical n.k

Sasa kuchambua tatu inakuwa ngumu!!! hehehee 

Basi mi nifanye hivi 1. Expendables, 2. John english 1 & 2,  Twilight (zote)

MIE NTAJIBU IKIFIKA TAREHE 29 DISEMBA.. MAANA KUNA MUVI KILA NIKITAKA KUZIANGALIA NAKOSA MUDA

Swafi sana Dixon.. Sasa Chaoga tarehe 29 unadhani utakuwa ndo ushaziangalia?

Tehehehee.. ina maana ulizo angalia toka January mpaka leo bado hujaona iliyokuvutia? sasa na hizi pirikapirika za msimu huu wa sikukuu ndiyo hutapata muda kabsaaaaaaaaaaaa.. maana najua mialiko itakuwa kibao.. hahahahaa

chaoga said:

MIE NTAJIBU IKIFIKA TAREHE 29 DISEMBA.. MAANA KUNA MUVI KILA NIKITAKA KUZIANGALIA NAKOSA MUDA

Expandable,XIII,na SAFE.

Zangu ni Good Deeds, Safe House na A thousand words..

Kaka umetisha!!!

KUNAMBI Jr said:

Expandable,XIII,na SAFE.

Itabidi nitafute hiyo Good deeds!!!

Leila said:

Zangu ni Good Deeds, Safe House na A thousand words..

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*