Tulonge

VIJANA TUJIFUNZE KUTUMIA "Social Networks" KWA MAMBO YA KIMAENDELEO PIA.

Pamoja na kutumia "social networks" kama Tulonge kwa nia ya kujuana na kuchangamshana vile vile tunatakiwa kuanza kuzitumia kwa shunghuli za kimaendeleo zaidi. Nadhani itakua ni jambo la maana sana kwa wadau kubadilishana mawazo kuhusu fani zao ili kuendela kupata soko zaidi na mianya ya ajira. Si kwamba mambo mengine tofauti na hayo yasitishwe bali yaende sambamba na majadiliano ya kimaendeleo zaidi.
Mfano: Kunambi Jr ni mtaalam wa IT,itakuwa ni vizuri kwake kujinadi kwa wadau ili aweze kupata soko.

Ninaamini kwa kufanya hivi tunaweza kufika mbali. Mnasemaje hapo wadau?

Views: 442

Replies to This Discussion

Yeah niko naanda moja ya mambo ya msingi zaidi juu ya vijana na Taifa kwa upana soon itakuwako hewani,ikiwa ni pamoja na matukio mengi yanayo jiri mataifa jirani
Hamna noma Kembo,anzisha mkuu ili tufaidike
Hamna noma , na kwa vile Tulonge imezungukwa na vichwa vingi vya IT tutabadilishana mawazo na kupeana
ujuzi zaidi .kama vipi anzisha wana tulonge wafaidike
@Dis yaah ni kweli mkuu hilo nalo neno, umenena kabisa GM wa Tulonge, vijana inabidi tujipange ili tuweze kuuzika zaidi katika masuala ya kimaendeleo, halafu me nina ushauri mmoja, coz sasa wadau wa kijiji cha tulonge tumeshakua wengi kwann tusitengeze japo forum ya kusaidiana ktk mambo yanayowezekana, sio kuchat na kuongeza mapicha tu, inabidi tufikirie kitu cha kufanya humu kijijini 4 our development, tubuni kitu kitakachotuwezesha kusaidiana hata kama kwa mawazo tu.
@sil ebwana ndo tunaanza kuchakachua bongo zetu tutengeze kitu ambacho kitatupa faida huko mbeleni.
@kembo ebwana tuko pamoja mkuu fanya mabo wadau tuchangamke.
Nilikuwa sijaona hili wazo lako Kunambi,ishu muhimu kama hii inabidi unirushie kwenye inbox au page yangu ili niione haraka. Wazo zuri mkuu litafanyiwa kazi,tunataka tukomae zaidi na ishu kama hz baada ya kuisajili tulonge. 2po pa1 mwana.

KUNAMBI Jr said:
@Dis yaah ni kweli mkuu hilo nalo neno, umenena kabisa GM wa Tulonge, vijana inabidi tujipange ili tuweze kuuzika zaidi katika masuala ya kimaendeleo, halafu me nina ushauri mmoja, coz sasa wadau wa kijiji cha tulonge tumeshakua wengi kwann tusitengeze japo forum ya kusaidiana ktk mambo yanayowezekana, sio kuchat na kuongeza mapicha tu, inabidi tufikirie kitu cha kufanya humu kijijini 4 our development, tubuni kitu kitakachotuwezesha kusaidiana hata kama kwa mawazo tu.
now ur talkn Md wa Tulonge sasa tatizo wengi wetu tupo scarted inabidi kutafuta means ya kutuweka pa1 ili tuweze kuongeolea mambo fulani fulani,najua TULONGE imetuweka pamoja kama wanakijiji wa familia moja sasa cjha msingi ni kuchakachua akili zetu kutafuta jinsi ya nn kifanyike katika koboresha hayo au sio mkuu DIS? mawazo yenu yanahitajika wadau..................

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*