Tulonge

Vijana yatupasa tujitambue kwanza katika mazingira tuliyonayo ndipo tutajiletea maendeleo bila kipingamizi, kwa sasa vijana wengi hatujitambui ndo maana tunatafuta njia mbadala za kutafuta suluhisho la matatizo ndo maana uhalifu umeongezeka kwa kasi katika jamii zetu.

Ebu ni saidieni kujadili hili tuone kama tunaweza kuwasaidia vijana waweze kujitambua!!!!

Views: 264

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*