Tulonge

Information

MAHANJUMATI

Members: 27
Latest Activity: Nov 28, 2012

Discussion Forum

mahajumati

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Agnes Nyakunga Jan 4, 2011. 5 Replies

  Karibuni ugali, kamba, kisamvu nakachumbariContinue

mahajumati

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Agnes Nyakunga Nov 29, 2010. 1 Reply

 Mwili haujengwi na MatofaliContinue

Lunch Time!!!

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Agnes Nyakunga Nov 26, 2010. 1 Reply

  Mchan MwemaContinue

Leo it weekend let try this at home sio kila siku ni mihogo tu

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by LATIFA MOHAMMED Nov 22, 2010. 5 Replies

 Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of MAHANJUMATI to add comments!

Comment by Agnes Nyakunga on November 12, 2010 at 14:41
heeeeeeeeeeeee kaka bon yamekuwa hayo tena!
Comment by Bonielly on November 12, 2010 at 14:32
sasa haya mambo ya machakula sisi wengine hatujawahi kula hivi vyakula mtasababisha tutapike kwa nyuma,
Comment by Bonielly on November 12, 2010 at 14:31
we @dis swala la kupika, muhimu ujue mamsapu akichoka au akitaka umtengeneza kamsosi ukishindwa si aibu hiyo? @agness mimi ninavyopenda kanyama ka kabwa, hasa kakiwa kachanga, kamfupa kake karainiii, siku ukiwa na kasherehe nialike nije kukachinja mwenyewe,
Comment by Agnes Nyakunga on November 9, 2010 at 8:14
unatakiwa uanze mwenyewe kaka Dis kutuandalia msosi mzuri
Comment by LATIFA MOHAMMED on November 9, 2010 at 7:37
dis umekuwa kinyonga umebadilisha jina na sasa unataka kupika makubwa haya
Comment by Tulonge on November 9, 2010 at 7:29
Hv wanaume tuliojazana humundani wote tunajua kupika? Au tuansubiri kula tu? Usitegemee utapikiwa kila siku,zamu yako ikifiaka lazima upike.ole wako utulishe msosi mbichi hahaahaaaa.2po pa1
Comment by LATIFA MOHAMMED on November 8, 2010 at 14:19
mwanamke jiko bana
Comment by Agnes Nyakunga on November 8, 2010 at 8:33
kaka bon habari ya wikend niweze wapi mie naweza tengeneza tu kale kambwa kadogokadogo, hapo mtu hanipati lini nikukaribishe kwangu uje kula nikuandalie japo kadogo katatosha
Comment by Bonielly on November 6, 2010 at 16:23
@agnes unaweza hayo manjonjo
haya @agnes unayaweza hayo?
Comment by Bonielly on November 6, 2010 at 16:21
hakiya mungu we binti kakufundisha nani? itabidi uje nyumbani kwangu unipikie na mimi hayo, mafisadi nadhani nitapasuka,
 

Members (25)

 
 
 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*