Tulonge

Malangali High School Alumni

Information

Malangali High School Alumni

Hili ni kundi la kuwakutanisha wale wote waliosoma Malangali High School Iringa ili kutuweka karibu zaidi kwa ajili ya kupeana habari mbali mbali muhimu,pia kukumbushana yale ya kipindi ile tukiwa skuli.

Members: 21
Latest Activity: Aug 3, 2013

Taswira za Malangali Secondary kwa sasa(2012)

Hii ndiyo njia ya kuingia shule toka barabarani

Ofisi ya Posta ya shule

Miti iliyo pandwa kando kando ya viwanja vya michezoNaona Bweni la Mwaisela B na Mkwawa kwa mbali.Nasikia ile cube ya Mkwawa iliyobatizwa jina "White House" mwaka 2000, hadi leo hii jina hilo limedumu.

Discussion Forum

Kikao kikubwa cha Wana Malangali Sekondari tar 04/08/2013

Started by Tulonge. Last reply by jacquerin gideon makoyola Aug 3, 2013. 1 Reply

Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha kuwa trehe 04/08/2013 kuanzia saa 8:00 mchana kutakua na kikao kikubwa na muhimu cha Wana Malangali Sekondari kitakachofanyika Landmark Hotel Ubungo Dar es…Continue

Taarifa kuhusu kuugua kwa Mwalimu Nyaulingo

Started by Tulonge May 13, 2013. 0 Replies

Jana nimepokea taarifa toka kwa katibu wa wana Malangali (Agnes Nyakunga), kuwa Mwalimu NYAULINGO…Continue

Mazishi ya Ndugu yetu Frank Maige katika picha leo

Started by Tulonge Apr 4, 2013. 0 Replies

Frank Maige alisoma Malangali High School 2001-2003. Alifariki tarehe 1 Aprili 2013 baada ya kupooza sehemu ya mwili. Zifuatazo ni baadhi ya picha za shughuli ya mazishi yake toka hospitali ya…Continue

Taswira ya Malangali Secondary School kati ya mwaka 1973-1975

Started by Tulonge. Last reply by Tulonge Jun 5, 2012. 1 Reply

Parade, kumbe ilikua ni mwendo wa kaptura tu kama shule ya msingi.…Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of Malangali High School Alumni to add comments!

Comment by ANANGISYE KEFA on March 10, 2011 at 17:23
ah! dada Agness enzi hizo za akina Portino Mwasampeta siwezi nikazisahau hata kidogo, kwanza Portino nilikuwa naye darasa moja, pili nilikuwa naishi naye bweni moja la Mwaisela ya chini na tatu vile vitanda vyetu vya double deck yeye alikuwa analala kitanda cha juu mimi cha chini.
Comment by Agnes Nyakunga on March 10, 2011 at 8:32
unakumbuka enzi zenu na akina masempeta?
Comment by Agnes Nyakunga on March 10, 2011 at 8:31
sasa kaka Kefa add picture yako.
Comment by ANANGISYE KEFA on March 9, 2011 at 18:21

ni mambo mengi sana ambayo nayakumbuka malangali, hasa ulanzi nimeumis ile mbaya,

Comment by Agnes Nyakunga on February 15, 2011 at 10:30
wana Malangali vipi? mbona Kimya hivyo?
Comment by Joel Uswege on February 14, 2011 at 21:57
Aisee wadau nipo ndani ya nyumba, ili tuweze kulonga yale yaliyojili Malangali. Pamoja sana, ngoja nikumbuke then ntarudi.
Comment by Agnes Nyakunga on February 3, 2011 at 9:50
labda tuwatafutie njia mbadala ya kuwaamsha cjui tumwambie teacher mroso
Comment by Tulonge on February 3, 2011 at 7:43
Wana malangali wamelala sana,naona wamelewa ulanzi
Comment by Agnes Nyakunga on February 2, 2011 at 9:24
jamani mbona kimya wana malangali group mpo?
Comment by Remmy Benson Mganga on February 1, 2011 at 16:25

siwezi amini Tulonge mpaka Mtengela mwenyewe athibitishe humu,kweli dunia hadaa,ulimwengu shujaa....:D

Mtengela popote ulipo thibitisha pls.

 

 

Members (21)

 
 
 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*