Share 'Nani asiye amini kuwa Diamond yupo juu?'
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond, jana alikonga nyoyo za mashabiki ndani ya ukumbi wa Mlimani City Dar. Shoo yake kali ilifanya watu kusimama mara kwa mara kuonesha kukubali kazi yake. Ona tukio hilo ktk picha. Picha zote na http://michuzijr.blogspot.com
Diamond akimchombeza Jokate
Hapa akiwa na Mama yake