Share 'Una lipi la kuchangia kuhusu kilichomtokea Raisi Kikwete Jangwani??'
Nadhani tulipata habari kuhusu kuanguka kwa Raisi Kikwete wakati alipokuwa akiwahutubia wanachama wa CCM katika uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho kikongwe Tanzania. Mengi yamezungumzwa juu ya hili tukio. Baadhi walilichukulia kama suala la kawaida,wapo walio lihusisha imani za kishirikina pamoja na mengine mengi yaliyozungumzwa.Wewe unalipi la kusema juu ya hili?