Share 'Lisemwalo lipo: Sehemu ya tatu(3)'
Na Vitus Ngiliule
Ilikua inaelekea majira ya saa nne asubuhi, kwa muda huu tulikua tunaingia morogoro na mara tu baada ya kuwasili tuliingia moja kwa moja katika kituo cha mabasi ya shabiby. Watu wengi walitelemka kwa ajili ya kuchimba dawa (kujisaidia haja ndogo) pamoja na kula chakula pia. Tulipewa muda wa kama dakika kumi na tano tu kufanya mambo yote hayo. Wakati huo nilikua bado nipo ndani y…