Share 'KWA NINI UNAOGOPA KUFA?'
Wapendwa swali ni rahisi sana, kama ambavyo linauliza; mimi binafsi ukiniuliza swali hilo--jibu lake litakuwa ni kwamba "naogopa kufa kwa sababu sijatimiza ndoto yangu/zangu".
Ila nina imani wapo watu wanakuwa na hofu ya kifo kwa sababu tofauti tofauti. Wapo ambao naamini kabisa wanaogopa kufa kwa sababu ya kuwaacha wale wawapendao, wapo wanao-ogopa kifo kwa sababu hawajatubu dhambi zao ambazo w…