Share 'NATAMANI NINGEZALIWA ENZI ZA YESU KRISTU!'
Sina mengi ya kuandika; ila kila nikijenga picha ya enzi za Yesu kupitia maandiko matakatifu--huwa napata shauku sana kuwa ningezaliwa kipindi hicho. Nahisi maisha yalikuwa mazuri zaidi, yalikuwa halisi zaidi kulinganisha na maisha ya dunia ya sass.
Vp, mdau/wadau mna mchango/maoni gani juu ya hili?