Tulonge

Views: 187

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Wa Kimberly on March 18, 2012 at 21:24

Karibu mama malaika tunakukaribisha,

Comment by Mama Malaika on March 17, 2012 at 22:34

Nami naja kula hizo pasta za waitaliano, sijui nakaribishwa maana waingereza wachoyo. Ha haa haa haa 

Comment by Wa Kimberly on March 15, 2012 at 2:14

Mama malaika,hakuna kingine ni Pasta za Waitaliano tuu mama.

Uwe na wakati mzuri.

Comment by Wa Kimberly on March 15, 2012 at 2:12

Ha ha haaaa,"Pozi la Gharama"asante Chalii nimekusoma.

Comment by ILYA on March 14, 2012 at 22:38

E bwana eee!Yaani hii inanikumbusha enzi za   zile za dada yangu alipokuwa miss mkoa wa nyumbani,alikiwafunika wote kwa mapozi,miongoni mwa mapozi yake yaliyokuwa yakimtoa smart plus cute ni hili hapa.

Yaani pozi kama hili jinsi ulivyojiseti hapo kwa sofa,mimi napendaga kuliita pozi kama kwa jina la: "pozi la gharama "na hilo ni pozi adimu.

Akina dada wakilitumia pozi hili kwenye stage lazima marefaree wabloo sana.

Enewei:Nimependa sana pic hii maana imenikumbusha enzi za sister.!

Comment by Mama Malaika on March 14, 2012 at 20:58

wee mwali... mbona unazidi kung'ara hivyo?  

Comment by Gratious Kimberly on January 24, 2012 at 16:02

Hahahaha Mary....just keep smiling...Mshahara tosha huo!! Tehtehteh

Comment by Wa Kimberly on January 24, 2012 at 15:37

Thanks kimberly,natakiwa kulipia kiasi gani hayo maufundi.ha haa

Comment by Gratious Kimberly on January 24, 2012 at 15:30

Comment by Georgia Mushashu on January 23, 2012 at 15:50

Beautiful lady hongera

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*