Tulonge

Hata si vipotable 2napendeza kwenye madela cjui madila loh

Views: 211

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Holiness Bangereza on March 14, 2012 at 16:51
Hahaha Alfan usikalili bana. Am like that
Comment by Holiness Bangereza on March 14, 2012 at 16:49
Manka ukiona anaona jan anashtuka ujue kashagongwa na nyoka
Comment by Alfan Mlali on March 14, 2012 at 16:47

hahahahahha! Jamni nyie si mnaona hilo pozi la mikono kiunoni linaashiria kusuta...hahahahah

Mimi naogopa sana kusutwa siku nikihisi ntasutwa lazima nitoke nduki!!!

Comment by Holiness Bangereza on March 14, 2012 at 16:41
Manka ukiona anaona jan anashtuka ujue kashagongwa na nyoka
Comment by Holiness Bangereza on March 14, 2012 at 16:34
Mama malaika nikama kanga bt ni mtelezo, ila co kanga.
Comment by manka on March 14, 2012 at 11:49

hahaha @ alfan, uliwahi kusutwa nini?

Comment by Mama Malaika on March 13, 2012 at 20:12

Ha haa haaa.... nakwambia huyu Alfan inabidi tu umzoee.

 

Holiness... hiyo nguo umeshonwa toka kwenye kanga au inakuja material tofauti na khanga? Naomba unitoe ushamba kwani kukaa ughaibuni napitwa na fashion za mavazi ya nyumbani Tanzania

Comment by Holiness Bangereza on March 13, 2012 at 19:23
Mama Malaika nakwambia Alfan yake kali mbona. Penda wewe hli Dila ee, asante
Comment by Mama Malaika on March 13, 2012 at 17:23

Umependeza sana hasa hiyo nguo naitamania.

Comment by Mama Malaika on March 13, 2012 at 17:22

Alfan hiyo comment yako chiboko. Ha haa haaa

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*