Tulonge

Chagua namba ulikua unaliaje wakat bado mdogo

Views: 155

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Holiness Bangereza on March 20, 2012 at 0:13
Tulonge i lv kids ndo mana najua style zao za kulia, no7 anahasira hata akilala kama haukuwepo utajua alipigwa. Unajua unaweza kumsoma mtoto akilia ee.

Afu umenchekesha na umenikumbusha mbali sana kuna dada alikua anaitwa Jesca Pancras wakat nipo primaly alikua akichapwa anacheka lakin machoz yanamtoka. Bas anafanya darasa zima mnacheka
Comment by Tulonge on March 18, 2012 at 21:24

Wewe Christer mm sikuwa nalia kabisa, nilikua nacheka tu.Hata nikipigwa naangua kicheko badala ya kulia

Comment by Tulonge on March 18, 2012 at 21:23

Hahahahhaaaa halafu Holiness unaonekana unawafahamu sana watoto, ni kweli huyo namba 4 anaonekana anaweza lia muda mrefu sana.Maana lia yake ni ile ya taratibu taratibu, anaweza akapunguza sauti kabisa then akaendeleza... Anaweza lia hata siku nzima.

Comment by Holiness Bangereza on March 18, 2012 at 11:46
Hahaha hiyo na2 ni ya watoto wanaodeka, anafikicha macho ili umuonee huruma, huyo namba4 huyo kunyamaza kwake ni shuhul mana anaeza akalia lisaa mpaka kichwa kimuume@Christer
Comment by Christer on March 18, 2012 at 10:04

Yoooooote tisa kumi ni Dis bana, hv mmemuona au hamjamuona? Dis ni namba 2, analia mpaka anapikicha Macho, sijui alikojoa kitandani atadundwa?

Comment by Holiness Bangereza on March 17, 2012 at 21:41
Hahaha anahasira huyo yan inaonekana wamemuuzi kweli
Comment by Tulonge on March 17, 2012 at 21:18

Hahahhaaaaa kama ni hivyo huyo namba 12 nampa ushindi.Sijui wengine watasemaje.Maana analia hadi mishipa ya shingo inaonekana.

Comment by Holiness Bangereza on March 17, 2012 at 21:08
Hujakosea upo sawa kabisa. Kuna namba zingine hapo mtoto akilia kama kuna ki2 ulimnyima mbona utampa!
Comment by Tulonge on March 17, 2012 at 20:48

Ni kina nani hawa,au ni aina mbalimbali za vilio vya watoto. Huyo namba 12 inaelekea akilia Mbagala basi hadi Kimara wanasikia. Maanaanaonekana akilia anatumia nguvu zake zote.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*