Tulonge

Views: 177

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 18, 2012 at 14:43

Mkuu naona shingo hiyo imejaa,haha,unakula mayai peke yake nini bingwa,makini sana.

Comment by Georgia Mushashu on February 14, 2012 at 16:23

Gratious Kimberly kukutamani kwani vibaya jamani iwapo mie ni binadamu? Nimesema nilichokiona hapo maana isingekuwa kweli hata weye usingejitetea na huo ugali wako lol. Ukinidaka ndo itakuwaje sasa si ndo ntakiona live alafu itakuwa poa sana teh teh teh teh teh!  Then haraka ya nini hakunaga bana.

Comment by Georgia Mushashu on February 14, 2012 at 16:21

Hahahahaha Angela mi nimeona jamani mpz so si kusema ni utani japo hataki kusikia kitambia anadai alikuwa ametoka kupata ugali.  Sasa sijui huo ugali ulitua kama ulivyotoka kwa sufuria lakini si tatizo mbona safi tu.

Comment by ANGELA JULIUS on February 14, 2012 at 8:09

iwee bwana Garatious talk by your self na kaisikii Mushashu ha ha ha ha

Comment by Gratious Kimberly on February 14, 2012 at 2:24

Haaaa Angela wala usikonde, si unaju changu chako....wewe ukipenda beba tu, hapana uliza Malaika!

Alafu  Angela umeona Georgia ameanza kunitamani?  Mkumbushe kuwa mimi nina njaa ya kuku wa kinyenyeji ni balaa......sasa naona yeye anasogela fensi jioni jioni!...tehtehtehteh

Comment by Gratious Kimberly on February 14, 2012 at 2:18

Hahahaha....nikikonda.......eti nikaangaze!!.......  Hapa nimeshiba ugali  eti kitambi!!   nikiota kitambi mtasema naumwa!!....tehtehteh!!!!!   We Georgia kilichobaki nikudake live alafu ndo utarudia tena hiyo kitambi yako iko wapi...alafu usiwe na haraka   Tehtehteh!!

Comment by ANGELA JULIUS on February 13, 2012 at 14:19

HA HA HA @ MUSHASHU UNA UTANI NA GRATIOUS ILA KITAMBI MIMI SIJAKIONA HAPO NGOJA NIVAE ILE MIWANI YANGU YA MBAO.

@ GRATIOUS NAOMBA HILO COAT LAKO LA JEANS UKIJA BONGO HA HA HA SIJUI NITAVALIA WAPI LOL

Comment by Georgia Mushashu on February 11, 2012 at 14:06

Alafu kitambi kimeonekana jamani

Comment by Gratious Kimberly on December 20, 2011 at 22:48

hapa nilikua nanda Munich...Beyern München

Comment by Mama Malaika on December 17, 2011 at 12:29

ulikuwa waelekea wapi?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*