Tulonge

Mambo ya nguna...Ugali mkubwa kuliko tumbo...hapa half time kwanza!

Views: 179

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 18, 2012 at 14:40

Duh,yaani hapo ni kibachela zaidi.Hahahaah

Comment by Mama Malaika on December 27, 2011 at 1:19

Kisamvu cha nkaranga ndio chenyewe... Yaani umenifanya nikumbuke nyumbani sanaaaa

Comment by Gratious Kimberly on December 20, 2011 at 22:44

haaa Mama malaika kweli....kismvu cha karanga je?

@ Mary usikonde nitakutumia kama unataka kweli...kuna duka huku tunapata sembe tena ya kupima kwa kilo....kama home vileeeeeeeeee

Comment by Mama Malaika on December 17, 2011 at 12:29

Haha haaha a.... hiyo tunaita la mwidebe. Mie hapo ningeongeza maziwa ya mgando, mlenda wa nkaranga na kisamvu. Ha haa haa

Comment by Wa Kimberly on December 16, 2011 at 22:14

jamani nitumie huo unga,mimi natumia ule wa njano waitaliano wanapikia polenta.

Comment by Alfan Mlali on January 29, 2011 at 14:54
Huo mkao unaonesha jinsi gani ulivyoshiba!!hahahahahahaha
Comment by Gratious Kimberly on January 26, 2011 at 16:51
Thanks Tulonge,  nakwambia hadi huku nguna inapatikana sema hadi hadi ufunge safari ili ufike huko wanakouza unga!1...Tunaondoa machungu ya kutokua bongo!!,,,
Comment by Tulonge on January 26, 2011 at 16:27
Haaahahhahaaaa nimeipenda hii kaka.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*