Tulonge

Views: 143

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 18, 2012 at 14:41

Kaka ndefu umefyeka nini mkuu.Hahahaaha

Comment by Tulonge on February 14, 2012 at 7:09

Mkuu kidevu kinawsha nini teh teh teh,bomba sana

Comment by Gratious Kimberly on January 18, 2012 at 1:57

Thanx Mary. the seat next to me is Empty...when are u gonna board the train....?  hahahaha

Comment by Wa Kimberly on January 17, 2012 at 23:11

ee bwana eeh!mimi like this pic.

Comment by Gratious Kimberly on December 20, 2011 at 22:54

Wajerumani siku hizi wametulia mama...kwani hakuna tena berlin wall...ila ubaguzi upo tu kama nchi zote za Europe!!...Huku tunapeta ila lazima mtu ujue unakwenda wapi na wakati gani...sema ni shwari.  yaani wanaona aibu siku hizi kwa matendo ya hittler so wanajitahidi kutobagua.  Tatizo ni hii group ya Right wing ndo ina upuuzi...au East Germany ndo bado hakujakaa sawa....ila tunawakomalia kama jeshini vile!!

Comment by Mama Malaika on December 17, 2011 at 12:53

naona uko safarini umetulia tuliii. Wanikumbusha enzi zangu niko mwanafunzi miaka ya 1990s, kila siku natoka chuoni ITC-Enschede (Holland) na train kwenda mjini Bonn kufanya project yangu ya Digital Surface Model (DSM) & Digital Terrain Models (DTM) pale kwenye offices zao kubwa za Survey & Mapping Angency mjini Bonn. Jamaa train zao muda wote zaenda kwa ratiba, hazichelewi ila Germans wabaguzi hakuna mfano. Wakati mwingine nilikuwa nikikaa kwenye kiti wakuta mzungu anaondoka... basi mie ndio nafurahi kwani najitanua kwa raha zangu. Ha haa haa

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*