Tulonge

Views: 202

Albums: wadau italy
Location: italy

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Denis Elias on June 26, 2011 at 17:17
aaaaaaaah duh!
Comment by KUNAMBI Jr on May 26, 2011 at 9:54
ndio chakula gani sasa?maana me sio kama kuna wali,ugali hapo yaani nimejua hizo pasta tu hivyo vingne me hata sijawahi kuviona
Comment by Wa Kimberly on April 6, 2011 at 14:17

ha ahaaa,kunambiii sio wadudu  hao,chibi akikusikia uansema wadudu.....,

ni chakula hicho tena kitamuuuu.@ kunambi

Comment by KUNAMBI Jr on April 6, 2011 at 11:15
hiyo ndo misotojo gani??mbona naona kama vitu vya ajabu tu,sio konokono hao jamani?we Mary nawe unakula hawa wadudu khaaaaa hii mpya.
Comment by Alfan Mlali on February 25, 2011 at 14:25
MMMhhhhh! Kumbe ni konokono??? Hamu yote imeisha!
Comment by Gratious Kimberly on February 16, 2011 at 20:17
Teh teh teh..Alfani umeona nyota nyota!!...Hao kibongo ndahani tunawaita Kombe bahari. wanaitwa Musssels kwa kizungu, ndo konokono wa baharini..watamu hao na wamejaa protini za kutosha....si unaona chibiriti alivyojaza msuli..hehehehehehe!....sema aina hii hapatikani kwenye maji ya kwetu....wanataka baridi kidogo ili waweze kuishi.  Atlantic Ocean, North Sea  na Mediterranean ndo kwao huko. Pia wanavuliwa kwa msimu.  Mwezi wa kumi hadi watatu ndo wanapatika kwa wingi.   Naona dada Mary aliporudi Italy alikuta wamejaa tele kila duka!!...hahahahah!
Comment by Alfan Mlali on February 12, 2011 at 19:46
Mmmmh.Tambi sijui zimechanganywa na nini hiki kinachong'aaa!
Comment by Omary on February 12, 2011 at 18:24
Mh!  Mery hiki chakula gani? tena maana kama sielewi? vile! pls nidadavulie bana.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*