Tulonge

Views: 153

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Agnes Nyakunga on May 30, 2011 at 9:29
thanks!
Comment by Jacob Kitalika on May 27, 2011 at 11:15
Hii imetulia zaidi. You look beautiful girl!!!!!!!!!!!!!!!!
Comment by eddie on March 4, 2011 at 17:07
Nimependa sana hapa picha yako....hizo tiles ulizokanyaga ni nzuri pia lakini alieziweka ninam-challenge kwamba hiyo finishing ameharakisha mno!
Comment by Agnes Nyakunga on March 4, 2011 at 14:20
@ kaka Kunambi kama ukimwomba mkeo akakubali mimi nikawa mke wa pili si mbaya haaaaaaa haaaaaaaaaaaa 
Comment by KUNAMBI Jr on March 4, 2011 at 10:34

Dada Agg unajua kwa sisi waislam tunaoa mpaka wake wanne sasa kwa mm naona bora nilete posa tu unasemaje???maana kuongea mengi ntashindwa

Comment by Agnes Nyakunga on March 4, 2011 at 8:28
kaka Baraka ahsante, mama Malaika thanks kwako dada Belita mie situmii kitu chochote kile cha kubadilisha ngozi yangu ndivyo nilivyo, kaka Severin nashukuru!
Comment by Mama Malaika on March 4, 2011 at 1:07
You look stunning!
Comment by Severin on March 3, 2011 at 17:52
Ndiyo maana hukuwa unataka kuweka picha zako,kumbe unajijia kuwa ni mrembo utasumbuliwa. Nimeshakuona sasa,mtoto umeumbwa kama malaika. Aisee mimi nakupenda,bora niwe wazi tu.
Comment by Belita on March 3, 2011 at 17:40
Umependeza Agnes,ngozi soft sana.Unatumia nini jamani?
Comment by BARAKA FRANCO CHIBIRITI on March 3, 2011 at 17:39
Umependeza.....hongera!

¬© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*