Tulonge

Views: 143

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Alfan Mlali on May 11, 2012 at 20:38

Cutieeee..

Comment by Holiness Bangereza on May 7, 2012 at 16:23
Hahaha Eddie kujiappriciate kwanza unaanza mwenyewe hata kama uvutii we jione unavutia tu then wengine ndo watakukubal
Comment by manka on May 3, 2012 at 14:51

HAHAAA @ EDDIE!!

Comment by Mama Malaika on May 2, 2012 at 15:35

Holiness umependeza mwali wangu... na una kaumbo kazuri kadogodogo

Comment by Mama Malaika on May 2, 2012 at 15:34

Kaka Eddie unanifurahisha sanaaa....

Comment by eddie on May 2, 2012 at 15:02

Du ...! Hapa naona umetufunga midomo tusitoe kauli zetu!

Mimi nimejiuliza huku kujisifia bila kutungoja tuseme, unatufanya tuumize vichwa tukijiuliza wewe ni aina gani...ni mtu pompous au la?

Mara nyingi nimeongelea kwamba hakuna mwanamke mbaya!

Mwanamke ni kama maua...kadri yanavyotunzwa/kujitunza hutaona ubaya wake....sasa yasipotunzwa/kumwagiliwa utaona tofauti.

Ukiona mwanamke ambaye hajaoga ni sawa na ua lisilomwagiliwa...hatui nyuki/kipepeo kutafuta asali hahahaha!

 

Comment by Holiness Bangereza on April 30, 2012 at 11:13
Hahaha nalazimisha kujisifia. Ukisubir kusifiwa loh
Comment by Holiness Bangereza on April 30, 2012 at 11:12
Hahaha nalazimisha kujisifia. Ukisubir kusifiwa loh
Comment by Tulonge on April 29, 2012 at 22:30

Hongera kwa kujitambua binti.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*