Tulonge

Code X: Work big, Earn big, Train big, Eat big, Sleep big, Laugh big & Dont forget to kiss big that your soul can get peace....Then you are a freee self dependent man!!

Views: 145

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Gratious Kimberly on June 16, 2012 at 1:06

Yeees kamanda Dixon sometime kukomaa muhimu!!  haaa sio kujaribu...fanya kweli...tena wewe rahisi saana maana unajua tiari discipline ya karate..maana kitu hii inahitaji heshima na ratiba...kama unaenda shule vile..  Duh sasa wewe na high season imekolea hii kweli ngumu....ebu piga marogo kwanza uwabane virongaronga---hahahaha

Comment by Dixon Kaishozi on June 15, 2012 at 21:22

Safi sana kamanda.. mwili na sura ya kazi.... ngoja na mimi jijaribu kuwa serious nione nitaonekana vipi.. hehehehee

Comment by ANGELA JULIUS on June 15, 2012 at 17:10

kama ulikwepo dada Manka lol ha ha ha

Comment by Gratious Kimberly on June 15, 2012 at 14:28

mdomo.....

Comment by manka on June 15, 2012 at 13:03

kweli An angry man is an angry man,,@ angela kumbe wewe ujanja wako kuvuta kamba tuuu hahahaa!!

Comment by Bonielly on June 15, 2012 at 11:59

jembe mwambie angela asiogope, mwili sio roho, mwili mkubwa roho ndogo, kumbe wewe ni bom bom na mimi ni vingunguti, pua na? utamalizia jembe,

Comment by Gratious Kimberly on June 15, 2012 at 11:17

Yeees jembe langu Bonielly...si unajua tena sisi watoo wa bombom a.k.a kijiwe samli lazima tujitete namna hii ndo tunapata heshima kidogo katika jamii..hahahaha

Comment by Gratious Kimberly on June 15, 2012 at 11:15

Haaaaa Anjela  usiogope  navaa shati kubwa au kanzu naficha kila kitu....serios muhimu lakini hujakosea maana nikinuna hiyo siku basi lazima watu wahame au wafunge club...tehtehteh!

Comment by Bonielly on June 15, 2012 at 9:57

jembe

Comment by ANGELA JULIUS on June 15, 2012 at 8:12

dah yani kusema kweli nikikutana na wewe hv naweza kukimbia mbio za ajabu lol manake upo serious sana, kweli mwili wa mazoezi huo

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*