Tulonge

Asanteni, Maombi yenu nimeyasikia na hatimaye Moshi mweupe umetoka!! Dixon wa Kwanza!

Views: 205

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by CHA the Optimist on November 11, 2013 at 20:37

Ha ha ha ha ha ha! Unavyotaja hiyo "NIMEKUSAMEHE" utafikiri BABA MTAKATIFU wa jimbo fulani vile.

Comment by Dixon Kaishozi on November 11, 2013 at 9:31

Nimekusamehe pia kwa kukashifu moshi mweupe.... @ CHA!! hahahaaa

Comment by CHA the Optimist on November 10, 2013 at 17:49

Mh...lakini huu si kwamba ni moshi wa marijuana!

Comment by CHA the Optimist on November 10, 2013 at 17:48

Ha ha ha ha!

Comment by Dixon Kaishozi on March 22, 2013 at 12:31

Asante, Na wewe pia Nakusamehe kwa kukashifu MOSHI ... @ Dunda!

Comment by Dunda on March 21, 2013 at 19:02

Hongera sana japo huo moshi kama ule wa Nyumbani kwetu Ifakara

Comment by Dixon Kaishozi on March 21, 2013 at 15:47

Naendelea kuwasamehe.. na wewe nimekusamehe pia!! @ Omari

Comment by Omary on March 20, 2013 at 19:25

Hahahahahah Dixon hizi kweli bangi tena zile za mchana kweupeeeeee mbuzi anakula majani kisha wewe unawasha kibatari unamtafuta mbuzi wako humuoni eti mahali pataka vitu na roho mtaka vitu yupo juu yako hahhahahahah.

Comment by ANGELA JULIUS on March 20, 2013 at 15:48

kweli Dixson unafaa kuwa mchekeshaji lol mama Malaika inabidi umtafutie tamasha aje huko afanye mambo lol manake hii picha imeniamliza na kidoti chake ndo kabisa balaaa

Comment by Dixon Kaishozi on March 20, 2013 at 15:38

Nimekusamehe pia !  @ Christer !!!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*