Tulonge

Views: 149

Albums: naps
Location: mkali

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by saleh mkali baya on March 13, 2011 at 15:30
ndio tz hiyo
Comment by Tulonge on March 11, 2011 at 21:51
Hahahahahaa duh! nacheka kama mazuri.Yani darasa la 3 na 4 ndani ya chumba kimoja.Hao walimu wanaongea kwa kupokezana,maana wakiongea wote si itakuwa fujo?
Comment by Mama Malaika on March 10, 2011 at 16:22
Miaka 50 baada ya Uhuru ndio hii, je miaka 70 itakuwaje?
Comment by Dixon Kaishozi on March 8, 2011 at 15:42
Hahahahaaa... Darasa MOJA.. lakini wanao soma humo ndani kwa wakati mmoja ni Darasa la  3 na la 4...  ARI ZAIDI, KASI ZAIDI NA NGUVU ZAIDI... isitoshe na mgao zaidi na mabomu zaidi... lol
Comment by Tulonge on March 6, 2011 at 17:48
Hahahahaaa inamaana kuna mwalimu mwingine upande mwingine?Mbona hawa wa kushoto wamegeukia huku?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*