Tulonge

Haya mayai ya Samaki....100g ni Euro 240.....kilo moja hapo kibongo..Tsh. 5 000 000/-

Views: 125

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on November 23, 2012 at 3:26

Hiyo kali Gratious, 100g for 240 Euro? Wale wenyewe mie nitaenda zangu kula Dar kwani nikiwapa 50,000tsh wavuvi wamakonde wa pale Ununio (Bahari beach) na kuwaambia nitafutieni mayai ya samaki siajabu kesho yake wataniletea kwenye kiji-ndoo tele. Ha haa haaa.....

Mama Manka mie ni mchumi by professional hivyo kuna vitu na-prioritize ukizingatia nina watoto. Ha haa haa haaaa.....

Comment by Gratious Kimberly on November 23, 2012 at 2:22

Haaa Mama Malaika vaa miwani angalia hiyo bei alafu pale chini kushoto...na juu nimeelezea vizuri....hiyo ni 100g(grams) ndo Euro 240....kwahiyo  1000grams(1kg) ni 2400,Euros....Nani ana shida na hayo mayai ya samaki....haaaaaaa

Comment by manka on November 21, 2012 at 14:22

hahahaaa!! mama Malaika mbona mwanangu atakoma na huo umatumbi wako.

Comment by Mama Malaika on November 21, 2012 at 13:37

Hiyo Euro 240 sio sio laki tano kweli ya bongo au nimeona vibaya hapo ulivyoandika 5million tsh? Hata kama ni laki 5 hawanipati wale wenyewe kwani mie m-matumbi hiyo pesa nikienda zangu nayo Bagamoyo nanunua eneo zuri tosha kulima bustani ya matikiki, nyanya na vitunguu. Na hapo hapo najenga kibanda nafuga kuku wangu wa kienyeji

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*