Tulonge

Views: 143

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Gratious Kimberly on November 30, 2012 at 0:17

Hawa wanaitwa,  "ukisikia ladha ya chumvi, ndimu na chachandu, basi meza tuu" Pacific inatema balaa na mashamba ya watu ndani ya bahari....Shauri yako ukimeza kila kitu...haaaa.... Hakuna  ileee..."enshonzi" hapo eti.. teh!

Comment by Dixon Kaishozi on November 28, 2012 at 12:15

HAHAHAAA...engege,   emboju  na kakaije!!! mambo yote bukoba @ Gratious

Comment by Gratious Kimberly on November 23, 2012 at 2:18

Haaaa  nilijua tu mtoto wa Kigamboni atakumbua....vibua, pweza, a.k.a kamba + ngisi;...karibu tupate vipande vya tasi na mkunga...hahahaha@ Dismas.

Karibu mkuu ila hapo hakuna ile inaitwa.....engege,   emboju  na kakaije!!! teh@ Dixoni

Comment by Dixon Kaishozi on November 20, 2012 at 16:03

Naona kumefurika sea food hapo!!! Mate mate, mambo yote forodhani.. tehehehehehee

Comment by ANGELA JULIUS on November 20, 2012 at 8:04

HATA SIJAELEWA JAMANI ILA NAONA MAPAJA TUU YANANIWEKA KWENYE HALI SIYO KABISA

Comment by Tulonge on November 20, 2012 at 0:13

Duuh! tunatamanishana mkuu.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*