Tulonge

Views: 135

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Omary on August 10, 2013 at 5:39
lol mji mwema mbali k/koo mitaa ya twiga kuelekea jangwani wanaita kwa Defao ukiuliza kwa Defao umeingizwa kibanda umiza lol.
Comment by Gratious Kimberly on August 9, 2013 at 20:26

Hapo kwa ukweli ni kama kilomita 11...tulizunguka saaana kupata picha....kwanza chini imeanza nyumba(ghorofa kama 6)  sasa angalia hata nyumba haionekani mkuu...naona umetoka mjimwema  sasa hahahahahaa

Comment by chaoga on August 9, 2013 at 12:38

ha ha ha ha unataka kuniambia huo mnara nyuma uko umbali wa km 50? mbona kama naona mwendo wa dk 5 tu kuufikia ngoja niingie kwenye link

Comment by Gratious Kimberly on August 8, 2013 at 19:54

Haaaaaaa.....Aleikum salaaaaam   mkuuuuu........Teh teh  naona ramadhani ya kipindi hiki kidogo ikupeleke mirembe, ulimisi ile  ya kumesaa aiseeee....teh teh.....Kwanza Kheri ya idd!

Hilo  dude refu kinoma hapo picha imepigwa kwa mbali saaana....linaonekana hata umbali wa kilometa 50 alafu kumbukumbu ya Taifa....kwa maelezo zaidi kandamiza hiyo link hapo chini ya picha.

Dis' ebu mkimbize huyo mjimwema kwa mama akapate ngumu kumeza akili yake irudi kwenye kapeti...anaruhusiwa leo baaada ya mfungo...tehteh

missed you my bro Chaoga

Comment by Tulonge on August 8, 2013 at 16:19

Teh teh teh Chaoga umetisha. Eti Manzese Darajani

Comment by chaoga on August 8, 2013 at 13:23

ASALAAAM ALEIKUM MKUU..., HAPO PAMEFANANA NA MANZESE DARAJANI AISEE..

Comment by Gratious Kimberly on August 5, 2013 at 13:28

Thanks Mama Malaika, Tulonge, na Malaika wangu....hii ilikua winter bado mwezi wa 3...kusema kweli Berlin ni mji mzuri ulaya...unapendwa na watu..sema siku hizi wahamiaji wengu (kama mimi...teh) kutoka ulaya hii hii...wanatuaharibia jiji...haaaaaaaaaaaa

Comment by Mama Malaika on August 4, 2013 at 18:18
Mko mwaaaaa....
Comment by Tulonge on August 3, 2013 at 20:40

Kweli imenoga. Safi sana

Comment by ANGELA JULIUS on August 3, 2013 at 9:46
kama vile mnaendana kufanana au macho yangu yana makengeza nini, mmependeza

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*