Tulonge

ushabiki wa mpira hauna G8 meeting. Cameron akifurahia gori la Chelsea dhidi ya Bayern Munich, huku Mama Merkel (kiongozi wa Germany) haamini macho yake. Teh teh teh.... Picha May 2012

Views: 135

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on August 25, 2013 at 17:24
Na kiongozi wao Mama Merkel @ Gratious. Teh teh teh...
Comment by Gratious Kimberly on August 8, 2013 at 20:21

Hapa naona Dunia imekutana....tehteh

Comment by Mama Malaika on July 12, 2013 at 13:32
Hapo hata sijui alikuwa ashangilia ipi? Obama ni Hammers (West Ham) hata kabla hajachaguliwa kuwa Senator na alipo shinda uraisi alipewa (honoured) club membership ya kudumu na aliifurahia. Hammers na Blues ni paka na chui ingawa wako majirani hivyo sitegemei Obama akashangilia jirani zake. Teh teh teh teh teh..
Comment by Tulonge on July 12, 2013 at 7:56

Obama alikua anashabikia timu gani? au itakayopiga chenga sana anahamia hiyo hiyo

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*