Tulonge

Siku nilipotembelewa na Angela (Dar), nilifurahi sana.

Views: 217

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on August 28, 2013 at 23:15
Ha haa haa haa haa haa haa haa haa haaaa..... Mbavu zangu mie. Ha haa hhaaaaaa....

Siku hiyo naisubiria kwa hamu. Naona nitacheka hadi mbavu zichanike kwa nyie wawili ( Angela & Bonielly)
Comment by ANGELA JULIUS on August 23, 2013 at 15:36

alaaaa kumbeeeee na wewe Bonielly kumbe walewale.

Comment by Bonielly on August 23, 2013 at 10:32

mkuu dis analosema angela kwamba atakupiga roba mbele ya mama dory, hatanii kaa nae mbali maana hajamaliza dozi angela tulikuwa wote milembe mwenzangu kakimbia, mama malaika hiyo siku ukitukutanisha na angela itabidi utafute police jamii wakae karibu na sisi maana patakuwa hapatoshi, nashukuru sasa hivi kuku wangu wameongezeka maana haji nyumbani kuchukua mayai,

Comment by Mama Malaika on August 21, 2013 at 18:06
Ha haa haa haa haa haa haa haa haaaa @ Angela. Dismas yupo wapi aje ajitetetee?
Comment by ANGELA JULIUS on August 21, 2013 at 16:18

YANI MAMA UNAJUA DIS YUPO WANTED KWANGU NA AKIJUA NIPO HAWEZI KUJA MANAKE ANAJUA NITAKACHOMFANYA TUKIKUTANA NA AOMBEE ASIWE NA MAMA DOREEN PEMBENI KWANI ATAPATA AIBU YA MWAKA, AMENIONA KIMYA AKIFIKIRI NIMESAHAU SIJASAHAU NA NIKIMKAMATA KWANZA ROBA LA MBAO LAZIMA ACHAFUE SURUALI

Comment by Mama Malaika on August 21, 2013 at 16:17
Angela... Dismas alinikwepa sana safari hii sababu aliogopa kukutana na Denzil, si unajua tena ataka kumuoa Doreen? Teh teh teh.....
Comment by Mama Malaika on August 21, 2013 at 16:12
Ha haa haaa... Angela matata sana wewe. Next time nikija nitafanya juu chini nikutane na Angela & Bonielly kwa wakati mmoja. Pia na Dismas tutamtafuta siku hiyo. Ha haaa......
Comment by ANGELA JULIUS on August 21, 2013 at 16:01

BONIELLY USIJALI UKIPONA UTAONANA NAYE NA BORA HAUJAONANA NAYE MANAKE NAHISI WATOTO WANGETOKA MARATHON KWA UWOGA HIVI HUJIONI KUWA UNATISHA CHA MSINGI ENDELEA KUFUATA USHAURI WA DAKTARI NA MIMI RAFIKI YAKO MPENZI.

Comment by ANGELA JULIUS on August 21, 2013 at 15:59

NDO NAONA HII PICHA MAMA MALAIKA LOL DISMAS WIVU HADI KWENYE KOPE MANAKE NILIVOTOKA HAPO KWAKO NILIMPIGIA SIMU WACHA NIMRUSHE ROHO ALIKOMAJE.

WADAU MNAOISHI MAJUU MKIJA TUTAFUTANE SINA HIYANA UKINIBEEP TUU NAKUPIGIA NA HATA MNAOISHI HAPA BONGO NA MIMI KAMA KAWA PAMOJA.

Comment by Gratious Kimberly on August 8, 2013 at 20:20

Safi saaana kijiji lazima kikueeee tuuuu

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*