Add a Comment
Hapo kumetulia sana kwenda kujichukulia pozi,umependeza sis.
Jamani umependeza mdada big up
mhhh umependeza...Da place is da bomb & you rock da place
Daah,ndio mambo ya utalii wa ndani chibi,kukaa arezzo tuu haitoshi,ili kuijuwa Italy vizuri lazima uzunguke,maana watalii kibao huja kufanya tour hapa.sio mbaya na mimi kujionea kwa macho.
FONTANA DI TREVI, umenikumbusha sana...nilipofika Italy kwa mara ya kwanza niliishi kwa wiki 2 jirani sana na hapo, yaani ni pembeni ya hapo, hata nilikuwa nikifungua dirisha napacheki tu, basi kulala ilikuwa shida tupu, watalii hukesha hapo.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge