Tulonge

Views: 129

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on August 3, 2011 at 12:11
Tunakuja kukutembelea next year... sijui una chumba cha wageni? Hata kama chumba hakina kitanda usijali sie tutaweka godoro chini na kulala ili mradi tu kusiwe na nyoka, sungusungu, tandu au ng'e humo chumani. Ha haa haa 
Comment by KUNAMBI Jr on March 11, 2011 at 11:04

mama malaika hapo ni arusha,kwa siye tuliokua na maskani huko kwa wameru,karibu sana

 

kaka seve me nlikua namuimbia yy anaruka si unajua watoto

Comment by Mama Malaika on March 4, 2011 at 0:54
Kunambi hapo i wapi? Naona mandhari nzuri sana inavutia.
Comment by Severin on March 3, 2011 at 13:18
Hiyo ni nzuri kaka,ila mbona wewe huruki kama mwanao?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*