Tulonge

Views: 167

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANGELA JULIUS on December 7, 2013 at 12:01

DU HAPA NILIKUWA SIJAPITA KITAMBO LOL GRATIOUS UMELAMBA TAI WALLAHI WEWE KIBOKO LOL KIUFUPI MMETOKA CHICHA

Comment by Gratious Kimberly on August 7, 2013 at 23:12

Haaaaaa  Manka hujataliiiiii.....ngoja nikuchanganyie msesewa.....haaaa

Comment by manka on August 7, 2013 at 15:10

TEHEEEE! KWELI UMEKATA NGWESE!!, ANGALI BWANA WEEE ME NATAHADHARISHA TU!! MERY WEKA NAMBA 1.

Comment by Mama Malaika on August 7, 2013 at 15:04
Ha haa haa haa haaaa... Comments za Gratious na Manka huwa mnafurajisha sana.
Comment by Gratious Kimberly on August 7, 2013 at 15:01

Haaaaa Manka koma weee....kitambi mnasema.....sasa nimekata wese mnasema....huo upana wa mabega umepima kweli?...au hadi  ni.....shati..?...tehteh...thanx

Comment by manka on August 7, 2013 at 14:46

WAOOO SAFI SANA!! LAKINI GRATIOUS MBONA UMEPUNGUA? AU MAJAMBO YAMEZIDI?

Comment by Gratious Kimberly on August 2, 2013 at 19:35

haaaaa   Dis& Kunambi....mimi hapo ndo  natambulishwa..huoni nilivyo pungua kama miguu ya mbu...tehteh...ningekua natambulisha mimi hapo ungeeona makeke yake...si unajua wale ndugu walivyokuwa na misifa...ungeona hapo ...Mi-Iphone mezani  , mara   Mi-Raptop, sijui  Tabret...hahahaha.  mama kashika zawadi ilikua ni Birthday yake

Comment by KUNAMBI Jr on August 2, 2013 at 16:28

haha haha Dis ulijuaje,maana naona Dada Mary kabeba na zawadi ya shemeji kabisa

Comment by Tulonge on August 2, 2013 at 6:52

Kaka hapa ndo ulienda kumtambulisha mtoto kwa nduguzo nini? Mmetokelezea balaa

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*