Tulonge

Fikiria wanawake wote wangekuwa kama huyu.Sidhani kama unyanyasaji wa wanawake ungekuwepo.

Views: 436

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mwalimu Peter on June 25, 2011 at 2:29
huyu si mwanamke amevaa mask tu akiigiza
Comment by Dunda on June 22, 2011 at 20:24

Nafikili ungezidi maaana mngekuwa watemi kupindukia

Comment by Bonielly on March 11, 2011 at 12:13
unajua wanawake hu wananguvu sana kabla hajanyanyua chuma je akinyanyua chuma itakuaje? lzm wanaume tuogope hasa huyu ukimcheki sura yake na umbo nuksi kinoma,
Comment by Mama Malaika on March 10, 2011 at 17:17
Yani nimecheka hadi basi na comments zilizotolewa. Kumbe wanaume mwaogopa wanawake wenye misuli, ennheee???
Comment by Gratious Kimberly on March 10, 2011 at 17:13

hahahahahahah Du mimi huku  mbavi sina  naona hata moja imechomoka!!

Mademu kama hawa ndo wanatakiwa kuwa ma waiter wa baa!....nakuambia unalipa kabla hujaagiza...alafu unaweza kuogopa hata kudai chenji.   alafu wanawake wasingekua na wasiwasi na waume zao wakienda maana wanajua huko baa hapendeki mtu...tehtehteh.

Comment by Omary on March 10, 2011 at 15:07
Doh! huyu hata nipewe bule na pesa yakuanzia maisha simtaki anaweza akakukazia mwenyewe unaingia jikone mtt wakiume unajipikilisha.
Comment by Belita on March 9, 2011 at 22:29
teh teh teh natamani awe dada yangu,hakutakuwa na mwanaume wa kunionea
Comment by Tulonge on March 9, 2011 at 21:44
Na ndoa sisingekuwepo pia,unadhani mwanaume gani angethubutu kuoa dude kama hili.Si kujitakia kufa bila sababu.
Comment by Mama Malaika on March 9, 2011 at 19:39
Ha ahaa ahaaa haaaaaa... Boniface na Moamed mwanivunja mbavu zangu.
Comment by Bonielly on March 9, 2011 at 15:16
nazani hatamimi angekuwa mke wangu ningejipanga ili nimzidi yeye, ila zikiwaka itabidi mlango uwe wazi maana, unaweza ufie ndani, huyu anaweza kupita hata usiku wa manane hao dungadunga wajaribu waone,

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*