Tulonge

Hapa naona moto uliwaka

Views: 1189

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dada on May 2, 2011 at 13:47
Hawa watakuwa wanarekodi filamu jamani!!! fumanizi tulivu hivi!!!!
Comment by Tony Msela on April 30, 2011 at 10:35

Cha mtu mavi.

 

Comment by Dixon Kaishozi on April 29, 2011 at 8:41
Mmmh.. hapa kunakamchezo.. huyo dada katulia tuliiiiiiiiiii.. jamaaa anajikojolea tu...
Comment by chaoga on April 29, 2011 at 8:23
ningekuwa mie nishamrukia mbili za kifua zamani nishakitoa zangu si unanijua nilivyo mwepesi dismas.....
Comment by Gratious Kimberly on April 29, 2011 at 1:48
ahaaaa we tulonge @ Dismas ...duh...chaoga tena.....ahaaaaaa
Comment by Tulonge on April 28, 2011 at 22:53
Huyo jamaa aliyefumaniwa mbona kama Chaoga,au macho yangu hahahhaaaa
Comment by chaoga on April 28, 2011 at 12:49
mbona mdada hana wasiwasi au walipanga dili na mumewe!!?
Comment by Belita on April 28, 2011 at 2:31
wakome! cha mtu hakiliwi bure

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*