Tulonge

Dis mchunge mwanao akijipendekeza kwa bint yangu namlima mitama simuangalii usoni

Views: 202

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Omary on November 15, 2014 at 6:34

Hahahahah CHA Omniscient eti nilikuwa pweza, mwanangu pweza nawatafuta huku siwapati bhana najuwa ni dawa ile.

Comment by Mama Malaika on August 25, 2014 at 17:51
Mtoto mzuriiii... Halafu wewe Omary huyu mtoto ni replica yako kuanzia macho hadi pose.
Comment by CHA the Optimist on August 5, 2014 at 15:46

We jamaa una damu kali sana. Yaani bado mtoto lakini anafanana na wewe? Eh..ulikula pweza kabla ya shughuli nini? tehe tehe tehe tehe

Comment by Tulonge on August 3, 2014 at 17:05

teh teh teh tena Ian akimuona huyo mrembo lazima aanze kumpigia misele

Comment by Dunda on August 3, 2014 at 14:08

Mkuu unaanza na mikwala si hatari hiyo

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*