Tulonge

Kulia bonde limezibwa na miti, ukiangukia humu balaa

Views: 173

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on October 10, 2013 at 11:08
Oops.. Nisamehe nimekunukuu vibaya.
Comment by Mama Malaika on October 10, 2013 at 11:05
Ujue wapagani wana miungu yao lakini wao na sisi wote tuna share one Supreme God. Hapa wako wengi huwezi amini tena wenyeji wazungu, wako wanao amini miti, wanyama, Sun God, Moon God hadi miungu wanawake. Na dini hizi za upagani nyingine zimekuwepo miaka zaidi ya elfu tatu, ukweni kwangu wako pia ukiwaona matendo yao utasema walokole wanavyojaliana na kutunzana, kumbe hawaamini Yesu wala Mtume. Ama kweli tembea uone, halafu hao hao walipokuja Africa walisema dini zetu za kuamini jua na naota za kishenzi. Ukistaajabu ya Musa utaona ya Farao. Na ukipandisha huko Arctic circle (Scandinavia) wako kibao. UK government inaheshimu wapagani. Na ideologies ya baadhi ya hizi dini za kipagani ndio zilizokuja kuzaa Animal Rights, Friends of the Earth, Deep Ecologists na organizations nyingi zinazopigania usawa na haki kwa wote
Comment by Tulonge on October 10, 2013 at 10:51

Hahahahhahaaa Mama acha kuongeza chumvi. Eti "wanaweka movie nzuri ya wanawake". Hilo neno wanawake umeiongeza wewe teh teh teh

Comment by Mama Malaika on October 10, 2013 at 10:07
Hii picha ni Kitpnga ya huku. Huyu bwana ujasiri wake umetokana na malezi na mazingira alokulia. Si unajua wenzetu walivyo?? Barabara zao wnajenga juu ya kilele mlimani kiasi kwamba ukiangalia shoto na kulia ni bonde na kwa mswahili utakataa kupita. Wamejenga hadi chini ya bahari kupitisha trains/cars wakati huko juu kwapita meli. Kitonga wala sio hatari kwao. Ha haa haa haaa....
Umenichekesha eti wanaweka movie nzuri ya wanawake kufanya watu wasiwaze kifo. Mie naona bus drivers wengi wanapofika Kitonga wanakuwa wastaarabu na subira kuliko huko nyuma na baada ya Kitonga wanaendesha kiwenda wazimu sana na ndiko ajali nyingi .
Comment by Tulonge on October 9, 2013 at 23:44

Basi huyo ni jasiri aisee.Nakumbuka tulikua tukifika eneo hilo walikua wanaweka movie nzuri kwenye basi ili kuwafanya watu wasiwaze kifo.Lkn hakuna kitu, kila mtu utamuona haangalii cha movie wala nn.Watu hukaa kimya wakisali. Nadhani hata wapagani husali, cjui wanamuomba nani? Basi likishapita hapo tu, stori huanza na tv huonekana vema sasa.

Comment by Mama Malaika on October 9, 2013 at 23:34
Kitonga mume wangu aendesha bila woga tena wakati mwingine twapita usiku, keshazoea mabonde na milima ya kwao (Welsh & Scottish highlands), anachoogopa ni kugonga wale nyani wakisubiria kurushiwa vyakula toka kwenye magari na wasafiri.
Comment by Tulonge on October 9, 2013 at 21:45

Aisee usinikumbushe hili eneo. Sikuamini kama nitapona siku zote nilipokua napita na basi toka Dodoma kuelekea Iringa (Malangali). Trip ya mwisho toka Malangali kuja Dodoma nilishukuru Mungu.Nikajua pamesha nikosa. Kumbe nilisahau kuwa nitatakiwa kurudi shule (Malangali) kwa mara nyingine kuchukua cheti. Lkn nashukuru nilienda na kurudi salama. Sipapendi sana hapa

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*