Tulonge

Views: 143

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on October 28, 2013 at 14:31
Lol..,nacheka na comments. Mkwe Alfani hongera sana. Mie nakuketea mamba toka ziwa Nyasa wakusaidie kuimalisha ulinzi.
Comment by Omary on October 26, 2013 at 0:05
Hahahah yaani nyie mwaka huu wenu kila mla cha mwenzie na chake pia huliwa msemo huu ulikuwa na maana sana sasa nyie kuweni wapole mletewe makoti lol ila mkijifanya wajanja hamtaamvulia kitu na mtoto ayachukuliwa utaishia kulea wajukuu wasio na Baba. Bora Angela Kashamkubali Faisal atembelee kwake.
Comment by Tulonge on October 25, 2013 at 21:11

Mimi nilishaongea na babu aniletee mzinga mmoja wa nyuki wa ulinzi, sitaki nyuki wa asali.Pia nimeshaongea na kamanda Kova kuhusu jibwa moja kubwa,nene na kali sana.Nakumbuka uvunguni kuna rungu mbili,mkuki,panga na shoka. Nasubiri ki-brazamen kisogee

Comment by Alfan Mlali on October 25, 2013 at 20:49

hahhaha.. hapa sina utani na mtu aisee. Atakayejifanya kunyatia nyatia namvunja kiuno tu.

Comment by Tulonge on October 25, 2013 at 20:47

Duh! mkuu naona umefyatua kigoli. Ule mpango wa kufuga jibwa kali na mzinga mmoja wa nyuki unakuhusu na wewe teh teh teh

Ni kweli amehamia kwako sasa, kwa mama amekimbia.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*