Tulonge

Ni kweli kaka zangu wanaweza kujizuia kubadilisha mabinti kama daladala kama wakati wanazidi kuzaliwa wazuri kama huyu? Mbaya zaidi wanajiachia tu.

Views: 321

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by didas f.lulu on May 8, 2012 at 13:18

way??????mlevi tu huyu even if we r born to safa bwana......

Comment by ANGELA JULIUS on July 21, 2011 at 15:44
WA KAWAIDA TUU ILA KWA MAFATAKI LO SIJUIIIIIII
Comment by Dunda on June 22, 2011 at 20:26
Kupona kuna maajaliwa  ya mwenyezi mungu
Comment by KUNAMBI Jr on March 29, 2011 at 15:01
jaman wengine tuna midadi ya kushtukiza sasa mkiwa mambo kama haya hali inakua mbaya huku looh
Comment by Abdulrazaq Ahmed on March 15, 2011 at 9:27
Ha2wezi kupona....
Comment by riziki matitu on March 11, 2011 at 8:48
 oooooohh mama malaika ujapata sikia kuwa bongo siku hizi kama ulaya mabint wanajiachia kama hakuna kufa hasa ukizingatia zama hizi za gonjwa hatari la ukimwi lkn watu hawajali kabisa.Huyu amekula raha sasa zinamla na yy tehteheeeeeee.Zama za mwisho hizi tujiandae kwa kurudi kwa muumba jamani
Comment by Mama Malaika on March 10, 2011 at 19:02
Diana hii kali! Hivi hii ni bongo au umetoa picha mitandaooni?
Comment by EDWIN NTUNGILWEGE on March 9, 2011 at 12:04
Duh, hii kali! Diana ama kweli, hii inakatisha tamaa.
Comment by riziki matitu on March 9, 2011 at 11:33
kila kizuri hakikosi kasoro labda anatumia dawa za kupunguza makali ya VVU.Oeni na muolewe na mtunze ndoa zenu mtasalimikana vidudu mtu kama hivi
Comment by www.dalaliads.com on March 7, 2011 at 19:46
JAMANI KARIBUNI MUJIUNGE KWENYE MTANDAO HUU MPYA NA BOMBA - www.rafikibuzz.com - NI SOCIAL NETWORK MPYAAA KABISA

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*