Tulonge

Views: 208

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by didas f.lulu on May 8, 2012 at 13:55

we Belita upendeleo wapi?mchina huo huwezi amini tena ashukujru Mungu yote yametoka sawa vinginevyo moja lingekuwa kuuuuuuuuuuubwa kuliko lingine.

Comment by jhon lednon on February 2, 2012 at 9:04

we unapoteza

Comment by Bonielly on September 30, 2011 at 11:50
ha ha ha ha aaa,,, sasa goma linachomoa na wewe ndio ushapagawa,, naamini lzm upewe kesi ya ubakaji, na uko radh au sio bro dicked,,,,
Comment by Dixon Kaishozi on September 29, 2011 at 16:12
Hahahaa.. mtanitafuta sana. Najifungia kama sipo na simu nazima kabisa, kisingizio hazina charge.. mgao wa umeme.. theheheheheeee
Comment by Bonielly on September 29, 2011 at 11:09
broo dicked goma ndio linatinga homu kuja kukupa hi,,,, hayo macho na hiyo mimate sipati picha,,,,
Comment by Belita on September 17, 2011 at 22:13
Mama yangu! huu upendeleo sasa.
Comment by Severin on September 17, 2011 at 19:57
Yani sipati picha na mimi wakiniweka kwenye hicho chumba.
Comment by Dixon Kaishozi on September 16, 2011 at 9:52
anadondoka huyu jamani....
Comment by Alfan Mlali on September 15, 2011 at 17:25
OMG...dah dah dah dah dah dah.......! baraaaa hiiiiii! Hapa hata kama uko na wife akipita huyu uzalendo unaweza kukushinda ukageuka halafu ukatwangwa kwenzi barabarani!!!
Comment by Marwa Bokene on September 15, 2011 at 6:42

Mimi sina la kusema zaidi ya TUMSHUKURU MUNGU.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*