Tulonge

Mvulana:Unajua mimi nakupenda sana wewe?

Msichana:mmmh najua mpenzi....

Mvulana:Nimeshawambia wazazi wangu tukisha maliza tu shule nakuchukua jumla.

Msichana:Mmmmh kweli mpenzi? maana warembo wako wengi huwezi badilika kweli wewe?

Mvulana:Aaaah wapi! wewe ni wangu wa kufa na kuzikana.Na ole wake nione kidume chochote kinakunyemelea, kipondo nitakachompa atajuta kuzaliwa.


Mdau ukiwa shule ulishawahi mpenda msichana/mvulana na mkaahidiana kuoana baada ya masomo? na je hiyo ahadi yenu ilitimia?

Views: 111

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Alfan Mlali on May 26, 2011 at 22:06
hahahahahahahaha!Dogo anapiga sound za ukweli kama mimi nilivyokuwa mdogo..tehetehetehetehet!
Comment by Severin on May 26, 2011 at 21:45
Hhahaahaaaaa hii kali,kavulana kanaonekana kajanja sna.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*