Tulonge

Waswahili wanasema mjini shule,.kila kitu na kila hali yaweza kuzalisha fedha ikiwa tu wateja watapatikana
.Ni akili yako tu.Kijana akiwajibika kumsafisha miguu mteja katika soko la Tandale, gharama yake ni shilingi mia moja (100) kwa miguu yote miwili.
HALALI MTU NJAA HAPA.

Views: 139

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Alfan Mlali on May 26, 2011 at 22:04
Hakuna haja ya watu kuomba omba wakati wanaweza kuiga ubunifu wa ajira kama huyu!
Comment by Severin on May 26, 2011 at 21:48
Sasa huyo wa ndani ya gari amechafuka na nini hadi aamue kusafishwa miguu mtaani kabla ya kufika home?
Comment by Severin on May 26, 2011 at 21:47
Hii kali

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*