Tulonge

Another face (appearance) of me....!!
sitaki maswali maana ulikua usiku mnene hapo ...watu wameshiba nyama choma hata sijui nani kapiga picha!!....nikiweka memory card kwenye device yake ntajua...siku hii nilizima betriiiii....haaaaaaaa

Views: 125

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Gratious Kimberly on June 19, 2012 at 10:01

Thanx Dismas........Anjela usikonde nayasubiria

Comment by Gratious Kimberly on June 19, 2012 at 10:00

Haaaaa we manka si uliniona na magwanda kule moshi ukanikataa ukidhani jambazi..kumbe nilikua nahudhuria kikao fulani cha chama....tehtehteh ungenisoma kwanza..hahahahaaaa

Comment by Tulonge on June 19, 2012 at 6:35

Aisee ulitokelezea sana mkuu. Safi sana

Comment by ANGELA JULIUS on June 18, 2012 at 15:06

DAH MANKA KWELI UMECHIZIKA HA HA HA. WEWE GRATIOUS UMENIACHA HOI MASWALI YAJA ILA PRIVATE QUESTIONS HA HA HA

Comment by Gratious Kimberly on June 18, 2012 at 12:34

weeee mie nina sura 200 kidogo...nikija majengo naenda kutapeli kibori'..  shauri yakoo....

Comment by manka on June 18, 2012 at 12:32

hahahaaaaa!! naona umejitoa fahamu, goodlooking.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*