Tulonge

Views: 202

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Gratious Kimberly on June 19, 2012 at 1:02

ila niko  na mlizi.....hahahahahahahahahaha

Comment by Gratious Kimberly on June 19, 2012 at 1:01

hapa zinapanda lugha 7 na kilatini juuuu...hahahahahahaha......msafiri lazima ujiteteeee  hahahaaa

Comment by manka on June 18, 2012 at 19:05

eti badala ya kuagiza anachotaka yeye, anasema come stai, bene, grazie,anajisalimia mwenyewe, anaitika mwenyewe,anashukuru yaani vurugu tupu tehe teheeeee.,

Comment by ANGELA JULIUS on June 18, 2012 at 14:54

DADA MANKA KUNA UWEZEKANO KASEMA HIVO YEYE ANAJUA KIJERUMANI PIGA PICHA UNGEKUWA WEWE NDO UMEFIKA URENO MANAKE KULE NI FULLLLLL KIRENO HA HAHA HA SASA UKITUMWA DUKANI UNAFIKILI UTALONGA NINI ZAIDI YA KUPOINT TUU HA HA HA

Comment by Gratious Kimberly on June 18, 2012 at 12:47

haaaaaaaaaaaaaaaaa.....narudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Comment by manka on June 18, 2012 at 11:23

hahaaaaa!! ogopa chale ya loli weewe, inaona mpaka huko vatican!! halafu Angela kaniacha hoi kweli eti unanyooshea kidole that one mzungu!! tehetehee!!

Comment by Gratious Kimberly on June 18, 2012 at 9:42

Yaaani we wala usikonde...chukuaaaaaaa.....nakuletea malaika wangu.  Hapa hakuna bei cheee....ni full mjeru kavamia vatican!!!  heeeeeeee.

Comment by ANGELA JULIUS on June 18, 2012 at 8:27

ha ha ha kwenye bucha ukifika unasema unataka nini au unaonyesha that one mzungu he he he hicho cha mkononi ukija niletee cha kike wala sitanii tena huko italy bei chee nivae na mimi nipendeze kama wewe halooooo

Comment by Gratious Kimberly on June 16, 2012 at 21:12

duh weeeee manka hilo chale lako chiboko  nimekoma...au nawe unamawasiliano na babu wa Loli? Kweli hapo nimetoka butcher za kiitaliano....Hapo kwenye njano basi ndani nyama tupu.  ngoja nimalizie choma narudi...hahahahahaaaa

Comment by manka on June 16, 2012 at 13:25

naona huyu anang'ang'ania kweli@ Dismas halafu naye anazidi kung'aa tu!! tehetehee,. hiyo mifuko hapo pembeni ndiyo inazile nyama choma?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*