Tulonge

Eti, ni lini wananchi wataacha kujichukulia hatua mkononi....?

Views: 157

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Gratious Kimberly on December 29, 2010 at 16:47
Duh you are right tulonge.....Kushika mamlaka mikononi na kuua Binadamu mwenzio ni Dhambi!1..Its against human rights!!....Ebu fikiria angekua ni Brother wako huyo  hata kama ni mwizi?....Si mazishi kesho hayo jamani!!   Mbona serikalini kuna vibaka kibao tena macho makavu lakini hatuwapigi mawe?..tunaishia kuwaita..Mzee,  Mheshimiwa...Ebo!!   some time mtu anasakiziwa tu Mwizi mwizi....basi watu hata hawaulizi  wanamvaa!1....this is Primitive jamani!1...au nakosea?
Comment by KUNAMBI Jr on December 13, 2010 at 15:33
hawa jamaa wanapiga mwizi au mnyama hapo chini duuh, ila vibaka nao wanakera jamani waacheni tu wale mkong'oto
Comment by Dixon Kaishozi on December 11, 2010 at 22:30

Hawa vibaka si watu wazuri, mimi nipo 50-50! Sometimes acha wachapwe maana hawa watu ukiwa unawapa kichapo wanakuangalia usoni.. sikumoja tu katoka rumande.. nakwambia hutembei kwa amani... ndo maana wanawapoteza kabsaaaaaaaaaaaaaaa.

Comment by Tulonge on December 7, 2010 at 20:43
Hii hatari,fikiria ww ndo unapigwa hivyo
Comment by kadir msuya on December 6, 2010 at 23:26
Huyu chalii kabeba jiwe anammalizia........., imefikia wakati tuache polisi ifanye kazi yake.inaeza ikawa huyu kibaka ni innocent............

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*