Tulonge

sisi sio wamasai bali tumekuja kutalii tu

Views: 171

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by KUNAMBI Jr on November 24, 2011 at 10:44

Mama Malaika waafrica ndo maana tuna uwezo wa kuishi popote hiyo baridi ya hapo wala haiukua ya kutisha sana

Comment by Mama Malaika on August 3, 2011 at 12:03
Kunambi yaelekea baridi ilikutesa sana, mbona kiwa ulikiacha wazi baridi inaingia sana. Huoni wenyewe wanaziba vichwa?
Comment by KUNAMBI Jr on May 9, 2011 at 18:13

nashukuru kwa ushauri mkuu Eddie,nitafanya hivyo, dada mary kweli kabisa utalii wa ndani raha sana ila tu watu hawajui

Comment by Wa Kimberly on May 6, 2011 at 14:07

vizuri kaka,utalii wa ndani huo ni pouwa.

Comment by eddie on May 5, 2011 at 15:14

Ukienda kutalii tena huko beba kabisa coat la baridi, naona ki-wind kilikutesa sana hahahaha!

Nakupa hint, kichwa, kiuno na nyayo tunza sana visipate baridi!

Kichwa ni kwaajili ya ubongo, kiuno kwa ajili ya figo, nyayo ( inasemekana miguu ni rahisi kupitisha baridi mwili mzima).

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*