Tulonge

Views: 129

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by KUNAMBI Jr on November 24, 2011 at 10:37

yaani kinachonisikitisha mm Mama Malaika hii nchi yetu wanaijua vzr wageni kuliko siye wenyewe,maana wa tz tumekua hatutumii rasilimali zetu vzr,sasa mtu kuandaa lak 2 tu kwenda kuiona nchi yake anaona mzigo,ukimuuliza Dis au Chaoga watakwambia eti si bora ukanunue unga na dagaa kauzu upikie watoto wale,jaman tuwe watalii wa ndani kama kaka Chibiriti.

Comment by Mama Malaika on August 3, 2011 at 11:59
Ha haaa.. umenichekesha na hao wakimbizi.. ujue kwao wamezoea baridi kali na hiyo ya Arusha Moshi ni joto tu kwao
Comment by Mama Malaika on August 3, 2011 at 11:56
Pole Kunambi.... ungefunika na kichwa chaingia baridi.
Comment by KUNAMBI Jr on May 9, 2011 at 18:10
mwana we acha tu,hawa si wakimbizi tu hawana afya nzuri ila hapo baridi lake balaa tupu,huo mbele sio moshi bali ni ukungu
Comment by Joan on May 8, 2011 at 23:15
Mbona nyie mnajizuia baridi lkn hao wenzenu wana vinguo vyepesi?
Comment by eddie on May 5, 2011 at 15:09
Hahahaha M-bantu asiyezoea baridi utamjua tu   pole sana mkuu!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*