Tulonge

Views: 143

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on March 7, 2013 at 14:47

Kweli kabisa @ Mntambo

Comment by Mntambo Mburi on March 7, 2013 at 12:52

Kwa hakika babu anastahili hongera nyingi sana.

Comment by Dixon Kaishozi on March 4, 2013 at 16:14

Kwenye hizi mbio, kuna MBIO NDEFU za KILIMANJARO 42.2KM, MBIO ZA GAPCO (WALEMAVU) 21.1 KM, MBIO FUPI 21.1 KM NA VODACOM FUN RUN 5KM.

Katika mbio zote hizo kuna kuwa na mshindi wa kwanza hadi wa kumi TU ambao hao wanapata zawadi za pesa na medali. alafu wengine kama MIMI.. tehehee hupata zawadi ya KUSHIRIKI ambapo na medali ni moja wapo. Kati ya washiriki wote hao kuna mda maalumu ambo ukichelewa zaidi ya mda huo basi hupati zawadi yoyote. Kuhusu huyo babu huwa anashiriki na kumaliza kwa muda!!

Comment by Wa Kimberly on March 4, 2013 at 16:06

Big Up Babu.

Comment by Bonielly on March 4, 2013 at 16:04

kweli kila mwaka huyu babu yupo nakumbuka mwaka jana alihojiwa,,,

Comment by Christer on March 4, 2013 at 11:30

Mmmmmmh babu jamani, sasa akishiriki anashinda mbona kama amechoka? @ Dixon

Comment by Dixon Kaishozi on March 4, 2013 at 10:55

Huyu Babu hushiriki hizi mbio kila mwaka!!!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*